2013-08-26 13:41:09

Mungu kamwe hachoki kusamehe- Papa francisko


Papa siku ya Jumapili katika ujumbe wake kwa ukurasa wa Tweeter ,aliwahimiza watu wote kutoogopa kuomba msamaha kwa Mungu, kwa kuwa . Mungu kamwe hachoki kusamehe makosa yetu. Mungu ni huruma safi kamili.








All the contents on this site are copyrighted ©.