Askofu mkuu Sciacca ateuliwa kuwa ni katibu mkuu mwambata wa Mahakama kuu ya Kanisa
Katoliki
Baba Mtakatifu Francisko amemtea Askofu Giuseppe Sciacca kuwa ni Katibu Mkuu Mwambata
wa Mahakama kuu ya Kanisa Katoliki. Hadi kuteuliwa kwake, Askofu Sciacca alikuwa ni
katibu mkuu wa Serikali ya mji wa Vatican.