2013-08-22 15:45:36

Mabadiliko ya Matibu wakuu nchini Tanzania


ORODHA YA MAKATIBU WAKUU WAPYA NA WANAOHAMA
















































































































S/NA.
JINA
JINSIA
ELIMU
CHEO CHA SASA
WIZARA ALIYOPANGIWA
1.
Dkt. Florens M. Turuka
ME
BSc (Agr)

MSc (Agr Econ)

PhD (Agr Econ)
Katibu Mkuu

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ofisi ya Waziri Mkuu
2.
Bibi Joyce K. G. Mapunjo
KE
B.A. (Econ)

M.A. (Econ)
Katibu Mkuu

Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika mashariki
3.
Bw. Jumanne A. Sagini
ME
B. A. (Ed)

M.A. (Ed)
Naibu Katibu Mkuu

Ofisi ya Waziri Mkuu

TAMISEMI
Ofisi ya Waziri Mkuu

Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
4.
Dkt. Servacius B. Likwelile
ME
B.A. (Econ)

M.A. (Econ)

PhD (Econ)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
Wizara ya Fedha
5.
Dkt. Patrick S. Makungu
ME
BSC (Mech Eng)

MSc (Agr Eng)

PhD (Agr Eng)
Naibu Katibu Mkuu

Wizara ya Mawasiliano,

Sayansi na Teknolojia
Wizara ya Mawasiliano,

Sayansi na Teknolojia
6.
Bw. Alphayo J. Kidata
ME
MSc (Econ & Finance)

MSc (Computer Appl)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
7.
Dkt. Shaaban R. Mwinjaka
ME
BSc (Agr)

MSC (Farm Systems)

PhD (Agr Econ)
Naibu Katibu Mkuu

Wizara ya Viwanda,

Biashara na Masoko
Wizara ya Uchukuzi
8.
Bw. Uledi A. Mussa
ME
B.A. (Econ)

PGD (Econ)
Naibu Katibu Mkuu

Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko
9.
Prof. Sifuni E. Mchome
ME
LLB

LLM

PhD
Katibu Mtendaji

Tanzania Commission of Universities
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
10.
Bw. Charles A. Pallangyo
ME
B.A. (Econ)

M.A. (Econ)
Naibu Katibu Mkuu

Ofisi ya Waziri Mkuu
Afya na Ustawi wa Jamii
11.
Bibi Anna T. Maembe
KE
BSc (Botany)

MSc (Ecology)
Naibu Katibu Mkuu

Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
12.
Bibi Sihaba S. Nkinga
KE
Msc (Transport)
Naibu Katibu Mkuu

Wuizara ya Habari, Vijana na Utamaduni
Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni
13.
Bibi Sophia E. Kaduma
KE
BSc (Agr)

MSc (Proj Plan)
Naibu Katibu Mkuu

Wizara ya Kilimo,

Chakula na Ushirika
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika



UHAMISHO MWINGINE
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Peniel M. Lyimo anahamia Ofisi ya Rais, IKULU, kwenye President’s Delivery Bureau, kama Naibu Mtendaji Mkuu mwenye jukumu la kuanzisha na kuongoza Idara ya Mageuzi ya Kilimo.

WATAKAOPANGIWA KAZI NYINGINE
Makatibu Wakuu wafuatao watapangiwa kazi nyingine:
1. Bw. Sethi Kamuhanda, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
2. Bibi Kijakazi Mtengwa, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.
3. Eng. Omari Chambo, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi.

WANAOSTAAFU
Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. Patrick Rutabanzibwa, anastaafu kwa hiari.








All the contents on this site are copyrighted ©.