2013-08-21 15:33:05

Kesheni!


Baba Mtakatifu Francisko anasema, hatima ya maisha ya kila mwamini ni kutaka kuuona uso wa Mungu; changamoto kwa kila mwamini kuhakikisha kwamba, taa ya maisha yake ya kiroho inawaka, tayari kukutana na Yesu atakapokuja kuwahukumu wazima na wafu!







All the contents on this site are copyrighted ©.