Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anaonya
kwamba, waamini hawawezi kuuishi Ukristo wao kama jambo la mpito! Ikiwa kama Kristo
ni kiini cha maisha yao, Yeye yupo katika matendo yote wanayoyafanya katika maisha!