Mh. Padre Benoit Goudote ateuliwa kuwa ni msimamizi wa kitume Jimbo Katoliki la Dassa-Zoumè,
Benin
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Padre Benoit Gbemavo Goudote wa Jimbo
Katoliki Dassa-Zoumè, kuwa ni Msimamizi wa kitume wa Jimbo Katoliki la Dassa-Zoumè,
nchini Benin.