2013-07-31 10:17:40

Vijana jishikamanisheni na Kristo na Injili yake!


Mama Kanisa anapoadhimisha Kumbu kumbu ya Mtakatifu Inyasi wa Loyola, Mwanzilishi wa Shirika la Wayesuit, Baba Mtakatifu Francisko anawaalika vijana kujishikamanisha katika maisha yao na Kristo pamoja na Injili, kwa kutoa sadaka mambo mengine yote yawe ni kwa ajili ya matendo makuu ya Mungu. Huu ni ujumbe wa Baba Mtakatifu kwa ajili ya watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Baba Mtakatifu Francisko bado mawazo yake yako nchini Brazil katika Maadhimisho ya Siku ya 28 ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2013.







All the contents on this site are copyrighted ©.