2013-07-30 12:15:42

Vijana sasa kumekucha!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia vijana mara baada ya Maadhimisho ya Siku ya 28 ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2013 iliyosheheni utajiri mkubwa wa maisha ya kiroho, kiutu na kitamaduni, sasa kuanza kumwilisha yote waliyoungama wakati wakiwa Rio de Janeiro.







All the contents on this site are copyrighted ©.