2013-07-22 12:11:26

Vijana, niko njiani!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia vijana kwamba, tayari amekwishaanza safari yake kuelekea Rio de Janeiro, baada ya masaa kadhaa, atakuwa anawasili, tayari kuungana nao katika Maadhimisho ya Juma la Vijana kwa Mwaka 2013.







All the contents on this site are copyrighted ©.