2013-07-20 10:59:30

Vijana safari njema kuelekea Rio de Janeiro!


Wakati huu macho na masikio ya waamini wengi yanapoelekezwa mjini Rio de Janeiro kwa Maadhimisho ya Siku ya 28 ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2013, Baba Mtakatifu Francisko anawatakia vijana wote wanaoelekea Brazil, safari njema, Yesu Kristo awatangulie katika hija hii ya imani.







All the contents on this site are copyrighted ©.