2013-07-18 10:31:19

Imani ni zawadi ya kuwashirikisha wengine!


Katika Maadhimisho ya Mwaka wa Imani uliotangazwa na kuzinduliwa na Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto wa kumi na sita kama sehemu ya Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican na Miaka 20 tangu Katekisimu Mpya ya Kanisa Katoliki ilipochapishwa; Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, imani si zawadi ya mtu binafsi, bali inapaswa kuwashirikisha wengine. Kila Mkristo ni mtume wa Yesu.







All the contents on this site are copyrighted ©.