2013-07-17 11:39:06

Jifunzeni kuwa na huruma kwa wale wanaoteseka!


Baba Mtakatifu Francisko anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii kukumbuka kwamba, Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma kwa binadamu. Hii ni changamoto kwa waamini na watu wenye mapenzi mema kujifunza kuwa na huruma, hasa zaidi kwa wale wanaoteseka!







All the contents on this site are copyrighted ©.