2013-07-15 08:45:08

Maisha ni tunda la mwaliko wa upendo!


Wakati huu ambapo utandawazi na maendeleo ya sayansi na teknolojia yanatishia ustawi na maisha ya binadamu, Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawakumbusha kwamba, kwa Mkristo, maisha si jambo la bahati nasibu! Bali ni tunda la mwaliko wa upendo kwa mtu binafsi.







All the contents on this site are copyrighted ©.