2013-07-13 09:57:41

Onesheni ushuhuda wa Mwaka wa Imani kwa njia ya matendo!


Katika Maadhimisho ya Mwaka wa Imani uliotangazwa na kuzinduliwa na Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto wa kumi na sita, sanjari na Jubilee ya miaka 50 ya Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican na kumbu kumbu ya miaka 20 ya Katekesi Mpya ya Kanisa Katoliki, Baba Mtakatifu Francisko anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii, kuhakikisha kwamba, walau wanafanya tendo la huruma kila siku, kama njia ya kumfahamu Kristo vyema zaidi.







All the contents on this site are copyrighted ©.