2013-07-12 14:31:22

Ombeni neema ya kuonesha masikitiko ya ndani kwa kutoguswa na mahangaiko ya jirani zenu!


Baba Mtakatifu Francisko anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii kumwomba mwenyezi Mungu neema ya kuweza kuonesha masikitiko ya ndani kwa kutoguswa na mahangaiko ya watu, kwa unyama unaojionesha duniani, lakini zaidi kwa ule ambao uko ndani mwao!







All the contents on this site are copyrighted ©.