2013-07-10 11:20:52

Hakuna njia ya mkato wala kubweteka katika kumfuasa Kristo!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, ikiwa kama wanataka kumfuasa Yesu Kristo kwa karibu zaidi, hakuna njia ya mkato wala kubweteka! Bali ni maisha yanayowajibisha, lakini, yanasheheni furaha kubwa!







All the contents on this site are copyrighted ©.