2013-07-09 09:41:16

Onesheni moyo wa ukarimu kwa wahamiaji!


Baba Mtakatifu Francisko katika hija yake ya kwanza ya kichungaji kwenye Kisiwa cha Lampedusa, Kusini mwa Italia, anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii, kusali kwa ajili mioyo itakayoonesha ukarimu kwa wahamiaji. Mwenyezi Mungu atamhukumu kila mmoja wao, kadiri ya walivyowatendea wadogo na wahitaji katika Jamii.







All the contents on this site are copyrighted ©.