2013-07-09 10:27:05

Iweni watu wa matumaini kamwe msikate tamaa!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, Mkristo ni mtu anayesheheni matumaini; kamwe hawezi kukata tamaa!







All the contents on this site are copyrighted ©.