2013-07-06 11:37:27

Jengeni utamaduni wa kukaa kimya na kumsikiliza Mungu!


Mwenyezi Mungu anazungumza na waja wake kwa njia ya Maandiko Matakatifu. Mwaliko kwa waamini kujifunza kukaa katika ukimya mbele ya Mungu na kufanya tafakari ya kina kuhusu Injili. Ni changamoto inayotolewa na Baba Mtakatifu Francisko kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.







All the contents on this site are copyrighted ©.