2013-07-05 10:12:56

Yesu Kristo ni rafiki na mwalimu wa ukweli na maisha!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawajuza kwamba, Yesu Kristo si tu kwamba ni rafiki, bali ni Mwalimu wa ukweli na maisha. Anawafunulia watu njia ambayo itawawezesha kufikia furaha ya kweli!







All the contents on this site are copyrighted ©.