2013-06-27 09:29:43

Mzee Madiba anapambana na kifo!


Hali ya Mzee Nelson Mandela inaendelea kudhohofu zaidi na zaidi kiasi kwamba, kwa sasa anapumua kwa kutumia mashine. Matumaini ya Mzee Madiba kuendelea kuishi yanazidi kufifia kila dakika inayopita. Moja ya wanafamilia ya Mzee Madiba Napilisi Mandela anasema, inasikitisha kumwona Mzee Madiba akiwa katika hali ile, lakini hawana loote la kufanya kwa sasa, bali kuendelea kumwombea kwa Mwenyezi Mungu. Mzee Madiba, anapambana na mauti kwa sasa!







All the contents on this site are copyrighted ©.