2013-06-26 14:58:31

Washirikisheni wengine fadhila zenu!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, fadhila ya upendo, uvumilivu na utu wema ni zawadi makini kabisa. Kwa mtu aliyebahatika kuwa nazo, atapenda pia kuwashirikisha wengine!







All the contents on this site are copyrighted ©.