2013-06-24 11:48:19

Mzee Nelson Mandela!


Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini, Jumatatu, tarehe 24 Juni 2013 amewaambia waandishi wa habari kwamba, hali ya Mzee Nelson Mandela inaendelea kudhohofu na kwamba, bado amelazwa Hospitalini na madaktari wanaendelea kumhudumia kadiri ya uwezo wao. Nayo Familia ya Mzee Madiba inawaomba wananchi wa Afrika ya Kusini kuendelea kumwombea Mzee Madiba katika sala na dua zao. Wao kama familia wametulia na wanafuatilia taarifa za madaktari.







All the contents on this site are copyrighted ©.