2013-06-24 11:05:37

Msiwe wanafiki!


Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, kila mtu ni mdhambi, changamoto kwa kila mmoja wao kumwomba Kristo ili asiwe ni mnafiki! Baba Mtakatifu anasema, mnafiki hawezi kufahamu maana ya huruma, furaha na upendo wa Mungu!







All the contents on this site are copyrighted ©.