2013-06-17 07:57:57

Kanisa ni mahali pa upendo na huruma ya Mungu!


Mwezi Juni, Mama Kanisa anafanya Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu kielelezo cha huruma na upendo wa Kristo kwa waja wake. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anaombea ili daima Kanisa liwe ni mahali pa huruma na upendo wa Mungu; mahali ambapo kila mtu anajisikia kupendwa na kusamehewa!







All the contents on this site are copyrighted ©.