2013-06-17 10:53:43

Kama kuna mtu amekukasirisha, mwombee!


Baba Mtakatifu Francisko kwa namna ya pekee anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii kuwaombea wale wote ambao wamewakasirisha, kwani hiki ndicho kielelezo cha upendo wa Kikristo!







All the contents on this site are copyrighted ©.