2013-06-11 11:16:47

Msiogope kuonesha ushuhuda!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, kamwe wasiogope kuonesha mshikamano na badala yake, wajitose kimasomaso kutumia yote waliyo nayo kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.