2013-06-10 08:23:52

Binadamu anapaswa kuheshimiwa na kulindwa!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anaonya kwamba, utamaduni wa kutothamini mambo umepelekea kwa baadhi ya watu kutoona tena thamani ya maisha ya binadamu anayepaswa kuheshimiwa na kulindwa.







All the contents on this site are copyrighted ©.