Waamini na watu wenye mapenzi mema wanaendelea kusali kwa ajili ya kumwombea Mzee
Nelson Mandela na famia yake ambaye inasemekana hali yake inazidi kuwa mbaya tangu
alipolazwa Hospitalini, Jumamosi iliyopita. Ni ujumbe uliotolewa na Rasi Jacob Zuma
wa Afrika ya Kusini, siku ya Jumatatu.