2013-06-08 12:16:35

Askofu mkuu Miroslaw Adamczyk ateuliwa kuwa Balozi Mpya wa Vatican nchini Gambia


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Miroslaw Adamczyk kuwa Balozi Mpya wa Vatican nchini Gambia na ataendelea pia kuwa ni Balozi wa Vatican nchini Liberia.







All the contents on this site are copyrighted ©.