2013-06-04 10:38:20

Jifunzeni kutoka kwa Bikira Maria kutenda kwa ujasiri!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, wakati mwingine wanafahamu kile wanachopaswa kutenda, lakini hawana ujasiri wa kulitenda jambo hili. Anawaalika watumiaji wa mitandao kujifunza kutoka kwa Bikira Maria namna ya kufanya uamuzi kwa kujiaminisha kwa Mwenyezi Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.