2013-06-03 07:48:03

Falsafa ya dunia hii inawasukuma wengi kukumbatia malimwengu!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, falsafa ya ulimwengu inawasukuma watu kupenda kukumbatia zaidi: mafanikio, madaraka na utajiri; Mwenyezi Mungu anawachangamotisha waja wake kutafuta unyenyekevu, huduma na upendo!







All the contents on this site are copyrighted ©.