2013-06-01 11:35:28

Kanisa ni Familia ya Mungu inayowaonjesha watu upendo


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, katika Maadhimisho ya Mwaka wa Imani, wamwombe Bwana ili Kanisa liweze kuwa daima ni Familia ya kweli inayompatia kila mtu upendo wa Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.