2013-05-25 16:28:37

Nina amini! Bwana nisaidie kwa kutoamini kwangu!


Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, kina mwamini katika undani wake kuna chembe ya kutoamini. Huu ni mwaliko wa kumwambia Kristo kwamba, Bwana nina amini, nisaidie kwa kutokuamini kwangu!

Itakumbukwa kwamba, hii pia ndiyo iliyokuwa kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku kuu ya Pentekoste, iliyofanyika kama sehemu ya Maadhimisho ya Mwaka wa Imani.







All the contents on this site are copyrighted ©.