2013-05-24 11:32:21

Papa Francisko anasali kwa ajili ya kuwaombea Wakatoliki nchini China!


Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 24 Mei, anaadhimisha Kumbu kumbu ya Bikira Maria, msaada wa Wakristo. Baba Mtakatifu Francisko anapenda kutumia fursa hii kuungana na Waamini wa Kanisa Katoliki walioko China na anawaweka chini ya ulinzi na usimamizi wa Bikira Maria wa Sheshan na kwamba, anaendelea kusali kwa ajili yao.







All the contents on this site are copyrighted ©.