2013-05-24 12:13:28

Miujiza ipo, lakini inabidi kupambana na kudumu katika sala!


Baba Mtakatifu Francisko anawahakikishia watumiaji wa mitandao kwamba, miujiza ipo! Lakini jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba, mwamini anajikita katika sala ambayo ni endelevu; sala inayopambana na wala si sala kwa ajili ya kujisikia.







All the contents on this site are copyrighted ©.