Home Archivio
2013-05-22 13:51:30
Askofu Claude Rault ateuliwa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Sinodi ya Afrika
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Claude Rault wa Jimbo Katoliki Laghouat, Algeria kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika.
All the contents on this site are copyrighted ©.