2013-05-08 12:21:45

Utajiri wa kweli unajionesha katika uzima wa milele!


Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, Yesu alikuja ulimwenguni ili watu wawe na uzima tele. Hapa ndipo utajiri wa kweli unapoonekana na wala si katika kumiliki vitu!







All the contents on this site are copyrighted ©.