2013-05-06 07:31:32

Kila Mkristo ni mmissionari!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anabainisha kwamba, kila Mkristo ni mmissionari kadiri anavyoshuhudia upendo wa Mungu. Anawataka waamini kuwa Wamissionari kadiri ya ukarimu wa Mwenyezi Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.