2013-04-24 13:59:08

Washeni imani yenu kwa: Sala na Sakramenti za Kanisa


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mtandao wa kijamii, twitter, Jumatano tarehe 24 Aprili 2013, anawaalika kwa namna ya pekee kuhakikisha kwamba, wanakua na imani hai inayorutubishwa kwa njia ya: Sala, Sakramenti za Kanisa na kukesha zaidi ili kutomsahau Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.