2013-04-22 10:26:18

Sauti ya Kristo ni ya pekee kabisa!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii maarufu kama twitter anawakumbusha kwamba, "Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua". Sauti ya Yesu anasema Baba Mtakatifu ni ya pekee kabisa. Anawaongoza waamini katika njia ya maisha.







All the contents on this site are copyrighted ©.