2013-04-17 09:04:41

Waziri Mkuu Pinda apangua hoja za wabunge!


Yafuatayo ni maelezo ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda wakati akijibu hoja za wabunge kuhusu hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014

UTANGULIZI

Mheshimiwa Spika,


Mheshimiwa Spika,






MAJIBU YA HOJA

Mheshimiwa Spika,


VIPAUMBELE VYA SERIKALI VYA MPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA 15 NA MIAKA MITANO
Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Mheshimiwa Freeman A. Mbowe (Mb.) anasema kuwa:

“Tatizo kubwa la Serikali inayoongozwa na CCM ni kukosa Weledi wa kutekeleza kikamilifu Vipaumbele vyake pamoja na kuviainisha kupitia Mpango wake wa Miaka Mitano, Bajeti na Programu”

JIBU:
Mheshimiwa Spika,








    Miundombinu hasa uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya Nishati, Usafirishaji, TEHAMA, Maji Safi na Majitaka na Umwagiliaji;


    Kilimo kwa shabaha ya kuleta Mapinduzi ya Kilimo kwa tafsiri pana inayojumuisha Kilimo Mazao, Mifugo, Uvuvi, Misitu na Ufugaji Nyuki;


    Maendeleo ya Viwanda hasa vile vinavyotumia malighafi zinazopatikana hapa Nchini, Viwanda vinavyoongeza thamani ya Mazao, Madini pamoja na kujenga Viwanda vikubwa vya Mbolea, Saruji, Viwanda vya Kielektroniki na vinavyohusiana na TEHAMA pamoja na vile vya maeneo maalum ya kiuchumi kwa ajili ya kutengeneza bidhaa za Soko la Ndani, Kikanda na Kimataifa;


    Maendeleo ya Rasilimali Watu na ujuzi kwa kutilia mkazo maendeleo ya Sayansi, Teknolojia na ubunifu pamoja na kuimarisha mafanikio yaliyopatikana katika upatikanaji wa huduma za Jamii (Elimu, Afya na Maji);












    VIASHIRIA VYA UCHUMI JUMLA








    MIUNDOMBINU (Barabara, Reli, Bandari, Viwanja vya Ndege na Mawasiliano)


BARABARA

Mheshimiwa Spika,










Mheshimiwa Spika,




UJENZI WA MADARAJA

Mheshimiwa Spika,


UJENZI WA VIVUKO VIPYA

Mheshimiwa Spika,


USAFIRI WA RELI

Mheshimiwa Spika,




Kuimarisha Reli ya Kati

Mheshimiwa Spika,




Ujenzi wa Reli Mpya ya Kati

Mheshimiwa Spika,


Reli ya TAZARA

Mheshimiwa Spika,


Mipango ya Ujenzi wa Reli Mpya

    Ujenzi wa Reli Mpya ya Tanga - Arusha – Musoma - Kampala






    Ujenzi wa Reli ya Ukanda wa Mtwara




USAFIRI WA MAJINI NA UIMARISHAJI WA BANDARI
Bandari Mpya ya Bagamoyo

Mheshimiwa Spika,


Bandari ya Mtwara

Mheshimiwa Spika,


Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano Nchini

Mheshimiwa Spika,

Kuunganisha Mkongo na Zanzibar na Mikoa

Mheshimiwa Spika,



Kuunganisha Mkongo na Nchi Jirani

Mheshimiwa Spika,




MAFANIKIO KATIKA MATUMIZI YA MITANDAO YA MAWASILIANO

Mheshimiwa Spika,


Simu za Mikononi


Mtandao wa Internet

Mheshimiwa Spika,


NISHATI
MPANGO WA KUONGEZA UZALISHAJI WA UMEME NCHINI
Mheshimiwa Spika,


    Ujenzi wa Mitambo ya kusafisha Gesi Asilia na Bomba la kusafirisha Gesi Asili kutoka Mnazi Bay hadi Mtwara na Songosongo Kisiwani (Lindi) kupitia Somanga Fungu hadi Dar es Salaam. Gharama za Mradi huu ni Dola za Marekani Milioni 1,225.3, sawa na Shilingi Trilioni 1.96. Kati ya fedha hizo Asilimia 95 ni Mkopo Nafuu kutoka Benk ya Exim ya China na Asilimia 5 itachangiwa na Serikali.


    Serikali inatekeleza mradi wa kujenga Mtambo wa Kufua Umeme wa Kinyerezi I utakaozalisha MW 150 na Kinyerezi II wa MW 240.


    Serikali imekamilisha Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa kufua umeme wa MW 105 wa Ubungo II, Dar es Salaam. Vilevile, Serikali inatekeleza mradi wa ujenzi wa Mtambo wa kufua umeme wa MW 60 Nyakato, Mwanza.
    Miradi mingine ni Mradi wa Somanga Fungu unaotekelezwa na Kampuni ya Kilwa Energy unaotarajiwa kuzalisha MW 320.


    Mradi mwingine ni ule wa kufua umeme wa Mchuchuma wa kuazalisha MW 600 na Mradi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka utakaozalisha MW 40.




Mafanikio mengine katika Sekta ya Nishati









    KILIMO


Mafanikio ya Sekta ya Kilimo

Mheshimiwa Spika,








Benki ya Kilimo

Mheshimiwa Spika,


Pembejeo na zana za Kilimo

Mheshimiwa Spika,




Matumizi ya Zana za Kilimo

Mheshimiwa Spika,


Kilimo cha Umwagiliaji

Mheshimiwa Spika,


    VIWANDA


Mheshimiwa Spika,








    MAENDELEO YA RASILIMALI WATU (Elimu, Afya na Maji)


MAFANIKIO YA ELIMU

    Elimu ya Msingi


Mheshimiwa Spika,









    Elimu ya Sekondari


Mheshimiwa Spika,






    Vyuo vya Ualimu


Mheshimiwa Spika,


    Elimu ya Juu


Mheshimiwa Spika,









AFYA

Mheshimiwa Spika,

















MAJI






Mheshimiwa Spika,
Kama Serikali ya Awamu ya Nne isingekuwa na Weledi, je mafanikio haya yangepatikana!

Wahenga wanasema
“Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni” Serikali inafanya kazi nzuri.

HOJA: TUME YA MABADILIKO YA KATIBA NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

Mheshimiwa Spika,




Mheshimiwa Spika,



Hoja: Tume kutokuwa na nia na dhamira ya kusimamia mchakato huru wa Katiba.

JIBU:
Mheshimiwa Spika,


    Utendaji kazi wa Tume unazingatia majukumu ya Tume kwa mujibu wa Hadidu za Rejea kama zilivyoanishwa kwenye Vifungu vya 9, 17 vya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83;


    Katika utekelezaji wa majukumu yake, Tume imepokea na kukusanya maoni ya Wananchi kuanzia mwezi Julai, 2012 na kukamilika mwezi Januari, 2013;


    Kwa mujibu wa Kalenda ya Tume, hivi sasa Tume imefanya kazi ya uchambuzi wa maoni yaliyokusanywa ili kutayarisha Rasimu ya Ripoti na Rasimu ya Katiba ambayo itawasilishwa kwa Wananchi kupitia Mabaraza ya Katiba ya Wilaya ambayo uundwaji wake unaendelea hivi sasa;


    Kwa mujibu wa Ratiba ya Utekelezaji wa Kazi za Tume hadi kufikia Mwezi Aprili, 2014 Tanzania itakuwa na Katiba Mpya;


Mheshimiwa Spika,





Hoja kuhusu: Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba yaliyokusudiwa yanaelekea kuilinda CCM na Serikali yake na kuendeleza baraka za “Status Quo”.

JIBU:
Mheshimiwa Spika,




    Kwa kuzingatia Kifungu cha 9 (1) Tume ilitumia njia mbalimbali katika kukusanya maoni ya Wananchi;


    Kwa mujibu Kifungu cha 18 (1), (2), (3) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83, Rasimu ya Katiba yenye maoni ya Wananchi itawasilishwa kwa Mwananchi kupitia Mabaraza ya Katiba ya Wilaya ambapo Wananchi watapata fursa ya kuijadili na kuitolea maoni Rasimu iliyoandaliwa kutokana na maoni yao wenyewe;


    Kwa mujibu wa Vifungu vya 25 (1), 26 (2) Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na wale wa Baraza la Wawakilishi ambao ni Wawakilishi wa Wananchi watapata fursa ya kuipitia kuijadili na kuipitisha au kuikataa Rasimu ya Katiba na wanaweza kuifanyia mabadiliko kama watakavyoona inafaa;


    Kwa mujibu Kifungu cha 36 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83, Katiba iliyopendekezwa itapelekwa kwa Wananchi ili waweze kuipitisha au kuikataa kwa kupiga kura ya “Ndiyo” au “Hapana”;



    Mchakato huo unashirikisha Wananchi wa Vyama vyote na wasiokuwa na vyama. Siyo sahihi kusema kuwa Mabadiliko ya Katiba yataendelea kuibeba CCM. Yote yanayofanywa na yatakayofanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba ni kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inayoainisha mchakato ambao ulipitishwa na Bunge hili na kisha kuwekwa mezani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Hoja: Tume haikuwa na utaratibu madhubuti wa kutoa elimu kwa Wananchi juu ya masuala yote yanayohusu Katiba Mpya na kwamba haikutoa elimu ya kutosha kwa Wananchi ili kuwaandaa kuchangia maoni yao kwa Tume wakiwa na uelewa wa kutosha.

JIBU:

Mheshimiwa Spika,


    Vyombo vya Habari [Redio, Luninga, Magazeti];


    Kutoa machapisho mbalimbali yakiwemo:


















Mheshimiwa Spika,


Mheshimiwa Spika,




Hoja Kuhusu: Muda uliowekwa na Tume wa kukusanya maoni ni mdogo ukilinganishwa na ukubwa wa Nchi na Wingi wa Wananchi. Wananchi walipewa dakika 5 kuwasilisha maoni yao kwenye Mikutano

JIBU:

Mheshimiwa Spika,


    Kukusanya maoni kwenye Mikutano ya hadhara iliyoitishwa na Tume kwenye Mikoa yote, Wilaya zote na Mamlaka za Serikali za Mitaa zote Tanzana Bara na Zanzibar;


    Pale ambapo mwananchi hakuweza kumaliza kutoa maoni yake kwa kuongea alipewa Fomu maalum za Tume ili aweze kuandika maoni yake yaliyobakia;


    Katika Mikutano ya hadhara, Mwananchi yeyote aliyetaka kutoa maoni yake kwa njia ya maandishi alipewa fomu maalum iliyotayarishwa na Tume;


    Kupokea maoni kupitia Sanduku la Barua 1681 Dar es Salaam na 2775 Zanzibar;


    Kupokea maoni kupitia Mitandao ya Kijamii ya barua pepe ya , facebook yenye anuani ya “tumeyamabadilikoya katiba”, Tovuti ya Tume yenye anuani ya ;
    Makala mbalimbali kutoka kwenye Magazeti; na
    Katika njia ya ujumbe mfupi wa simu.







Mheshimiwa Spika,




Hoja kuhusu: Tume kutokuwa huru au kuutafsiri uhuru vibaya na kutoa Taarifa zake kwa Mheshimiwa Rais.

JIBU:
Mheshimiwa Spika,










Hoja kuhusu: Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutowajibika kwa Bunge

JIBU:
Mheshimiwa Spika,










Hoja : Tume imetengeneza utaratibu wa Mabaraza ya Kikatiba ambao kwa ushahidi wa mwanzo inaonyesha kuwa hayo ni Mabaraza ya CCM na siyo Mabaraza ya Watanzania; kutokana na Wajumbe hao kuchaguliwa na Kamati ya Maendeleo ya Kata.

Mheshimiwa Spika,




Mheshimiwa Spika,










Hoja: Tume kukataa kubadilisha Muundo wa Mabaraza ya Katiba hata baada ya kupewa maoni na Wadau.

Mheshimiwa Spika,





Hoja: Sheria ya Marekebisho ya Katiba imefanyiwa marekebisho mara moja tu kinyume na Makubaliano ya CHADEMA na Mheshimiwa Rais.

Mheshimiwa Spika,








Mheshimiwa Spika,


Hoja: Bado haijulikani Wajumbe 166 watakaotokana na Taasisi mbalimbali zilizotajwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba watateuliwa kwa utaratibu gani na nani atakayefanya uteuzi huo.

Mheshimiwa Spika,




Mheshimiwa Spika,


Hoja: Hakuna muafaka juu ya uhalali wa idadi kubwa ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Zanzibar kushiriki katika mjadala wa Katiba Mpya kwenye masuala yasiyokuwa ya Muungano.

Mheshimiwa Spika,


Mheshimiwa Spika,




Hoja: Hakuna Sheria inayompa Mheshimiwa Rais Mamlaka ya kuliitisha upya Bunge Maalum la Katiba na kulielekeza kuboresha masharti ya Katiba Mpya mara baada ya Bunge hilo kuipitisha.

Mheshimiwa Spika,




Hoja: Haujulikani uhalali upi wa Kisheria utakaoiruhusu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kusimamia na kuendesha kura ya maoni ya kuhalalisha Katiba Mpya.

Mheshimiwa Spika,


Mheshimiwa Spika,

MATOKEO HAFIFU YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012

Hoja: Elimu sio kipaumble cha Taifa kwa CCM na Serikali yake

Jibu:
Mheshimiwa Spika,




Bajeti ya Elimu Kuanzia Mwaka 2005/2006 hadi 2012/2013
ilikuwa inaongezeka kama ifuatavyo:













































MWAKA
BAJETI
ASILIMIA YA BAJETI YOTE
2005/2006
Bilioni 669.5
16%
2006/2007
Bilioni 891.2
18.4%
2007/2008
Bilioni 1,086
17.9%
2008/2009
Bilioni 1,430
19.8%
2009/2010
Bilioni 1,743.9
18.3%
2010/2011
Bilioni 2,045.3
20.3%
2011/2012
Bilioni 2,283
19.7%
2012/2013
Bilioni 2,890
23.4%




Hoja kuhusu: Elimu ya Tanzania imeporomoka kwa kiasi kikubwa cha sasa kuhatarisha mustakabali wetu kama Taifa hasa kutokana na kufeli kwa kutisha kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2012.

JIBU:

Mheshimiwa Spika,


Mheshimiwa Spika,




    Kubainisha sababu za matokeo mabaya ya Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012;


    Kubaini sababu za kushuka kwa kiwango cha ufaulu katika Mitihani ya Kidato cha Nne kuanzia kipindi cha mwaka 2005 hadi 2012;


    Kutathmini nafasi ya Halmashauri katika kusimamia Elimu ya Sekondari katika Halmashauri zake;


    Kuanisha sababu nyingine zinazoweza kuwa zimechangia hali hii ya matokeo;


    Kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukua mara moja kwa Wanafunzi 240,903 waliopata Daraja la Sifuri katika Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012; na


    Kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukua kukabiliana na tatizo la mwenendo wa kushuka kwa kiwango cha elimu mara moja, kipindi cha muda mfupi, kati na kipindi cha muda mrefu;






HOJA: Serikali iliunda Tume ya kushughulikia suala la kuporomoka kwa elimu nchini 2010 hatua gani zimechukuliwa kufuatia mapendekezo ya Tume hiyo.

JIBU:
Mheshimiwa Spika,






HOJA: Serikali imechukua hatua gani kuwawajibisha viongozi wanaohusika na Sekta ya Elimu kufuatia kufeli kwa kutisha kwa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2012.

JIBU:
Mheshimiwa Spika,



Hoja: Ushiriki wa Wanafunzi wa Elimu ya Juu katika Siasa unaonekana kuelekea upande wa kukipendelea CCM.

Jibu:
Mheshimiwa Spika,








Hoja: Vigezo vinavyotumiwa na Bodi ya Mikopo kutoa mikopo kuwa vinawapaendelea matajiri.

Jibu:

Mheshimiwa Spika,






Hoja: Bodi ya Mikopo imetumia gharama kubwa kununua mfumo wa uchambuzi wa utoaji mikopo ambao haujaleta tija hadi sasa.


Jibu:

Mheshimiwa Spika,

Mfumo huu ambao kwa kiasi kikubwa unatumia “Online Loan Applicagtion System (OLAS)” umesaidia kuepuka kutumia makaratasi pamoja na kuokoa muda.

Hoja: Kuna ucheleweshwaji wa Mikopo kwa Wanafunzi waliopo Vyuoni jambo ambalo linasababisha migomo katika Taasisi za Elimu ya Juu.

Jibu:

Mheshimiwa Spika,


Hoja: Kuna kasi ndogo ya urejeshwaji wa mikopo kutoka kwa wanufaika kwa vile Serikali na Bodi haikuzingatia ushauri wa Kambi ya Upinzani kwenye Bajeti ya 1012/2013.

Jibu:

Mheshimiwa Spika,




DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

HOJA: Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa unaotegemewa kuletwa Bungeni kwa ajili ya kuufanyia marekebisho, usubiri hadi Katiba Mpya itakapokuwa imeanza kutumika.
JIBU:

Mheshimiwa Spika,


HOJA: Tume ya Taifa ya Uchaguzi iandae Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakalotumika kwa uchaguzi wa Wabunge huko Zanzibar.

JIBU:

Mheshimiwa Spika,
Kwa hivi sasa, Tume inazingatia Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (Sura ya 343) iliyopitishwa na Bunge hili Tukufu inayoelekeza kuwa Tume itatumia Daftari lililoandaliwa kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi Zanzibar katika Uchaguzi wa Wabunge huko Zanzibar. Kwa msingi huo, Tume ya Taifa ya Uchanguzi hutumia Daftari lililoandaliwa na Tume ya Uchanguzi ya Zanzibar katika uchaguzi wa Wabunge huko Zanzibar.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

HOJA: Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina mpango wa siri wa kuandaa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa ‘biometric’. Mipango imeanza bila ya kushirikishwa Vyama vya Siasa.

JIBU:

Mheshimiwa Spika,


HOJA: Sheria gani inaruhusu uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kwa njia ya ‘biometric’?

JIBU:
Mheshimiwa Spika,




SALAAM ZA POLE KWA WATU WALIOPATA MAAFA NA AJALI

HOJA: Mheshimiwa Waziri Mkuu alieleze Bunge ni kwa nini kwenye Hotuba yake hakutoa pole kwa Watu walipoteza maisha kutokana na ajali za barabara na majini wakati Watu wengi wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo.

JIBU:
Mheshimiwa Spika,




SENSA YA WATU NA MAKAZI

HOJA: Serikali itekeleze ahadi yake Bungeni ya kuwalipa Posho Watendaji wa Mitaa, Vijiji na Vitongoji waliohusika kuwasaidia Makarani katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012.

JIBU:
Mheshimiwa Spika,






HOJA: Serikali iwapatie Waheshimiwa Wabunge nakala ya Taarifa ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 katika Mkutano wa Bunge la Bajeti. Aidha, Serikali itoe Taarifa ya Sensa ya Watu na Makazi ikionyesha wazi mchanganuo wa Idadi ya Watu Kimkoa.
JIBU:
Mheshimiwa Spika,








MAKAZI BORA KWA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Hoja: Serikali iwapatie Askari Polisi Makazi bora yenye staha hususan kwa kuanzisha mfuko wa ujenzi wa Nyumba za Askari

JIBU:
Mheshimiwa Spika,












Hoja: MASUALA YA UDINI, AMANI NA UTULIVU

JIBU:
Mheshimiwa Spika,
















HITIMISHO:

Mheshimiwa Spika,















All the contents on this site are copyrighted ©.