Uteuzi wa mabalozi wapya wa Vatican nchini El Salvador na Libya
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Lèon Kalenga Badikebele kuwa ni Balozi
mpya wa Vatican nchini Belize, kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Badikebele alikuwa
ni Balozi wa Vatican nchini El Salvador.
Wakati huo huo, Baba Mtakatifu Francisko
amemteua pia Askofu mkuu Aldo Cavalli kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Libya, kabla
ya uteuzi huu, alikuwa Askofu mkuu Cavalli alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Malta.