2013-04-06 09:34:29

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kukutana na Papa Francisko tarehe 9 Aprili 2013


Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa, Jumanne tarehe 9 Aprili 2013 kukutana na kuzungumza na Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban Ki-Moon hapa mjini Vatican. Habari hizi zimethitishwa pia na Idara ya habari ya Vatican. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa viongozi hawa wawili kukutana na kuzungumza kwa pamoja tangu Baba Mtakatifu Francisko alipochaguliwa hivi karibuni kuliongoza Kanisa Katoliki.







All the contents on this site are copyrighted ©.