2013-04-04 15:14:26

Mungu anakupenda, hakuna sababu ya kuogopa kumpenda!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya jamii maarufu kama twitter anawambia kwamba, Mungu anawapenda binadamu. Hakuna sababu ya kuogopa kumpenda Mungu. Waamini wanaalikwa kwa namna ya pekee kukiri imani yao kwa vinywa, lakini zaidi kwa njia ya mioyo, maneno na matendo yanayodhihirisha upendo.







All the contents on this site are copyrighted ©.