2013-03-13 20:16:32

PAPA GIORGIO BERGOGLIO KUTOKA ARGENTINA


Kardinali Jean Louis Pierre Tauran, Rais wa Baraza la Kipapa la Majadiliano ya Kidini ndiye aliyepewa dhamana ya kumtambulisha na kumtangaza Papa Mpya kwa waamini waliokuwa wamemiminika kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro, mjini Vatican. RealAudioMP3
Kardinali Tauran anatoka katika kundi la Makardinali Mashemasi. Yeye ndiye mwenye umri mkubwa. Anapewa pia dhamana ya kumvisha Palio Takatifu, Baba Mtakatifu Mpya. Kardinali Tauran alianza kutumikia dhamana tangu tarehe 21 Februari 2011.
Tunawatangazia furaha kubwa, kwamba, tumempata Papa Mpya!
Giorgio Bergoglio, SJ. amechagua kuitwa Francis wa kwanza kutoka katika Shirika la Wayesuit. Ana umri wa miaka 77.








All the contents on this site are copyrighted ©.