2013-02-02 14:22:43

Askofu Joseph Effiong Ekuwem ateuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Calabar, Nigeria


Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, amekubali ombi la Askofu mkuu Joseph Edra Ukpo wa Jimbo kuu la Calabar, Nigeria la kung'atuka kutoka madarakani na badala yake amemteua Askofu Joseph Effiong Ekuwem kuwa Askofu mkuu wa Jimbo la Calabar. Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu mteule Ekuwem alikuwa ni Askofu wa jimbo la Uyo, Nigeria.







All the contents on this site are copyrighted ©.