2012-12-27 14:42:46

Nia ya sala za Papa kwa Mwezi Januari 2013


Nia ya Papa, kwa sala zake za kawaida, katika Januari, ili kwamba katika mwaka huu wa Imani Wakristu waweze kuzamisha utambuzi katika Fumbo la wokovu wa Kristu na utoaji wa ushuhuda kwa furaha, kama zawadi ya imani ndani mwao.
Na sala za Papa kwa ajili ya Misioni, inalenga zaidi ili kwamba, Jumuiya ya Wakristu Mashariki ya Kati ambao mara nyingi hukumbana na kubaguliwa, waweze kupokea toka kwa Roho Mtakatifu, nguvu za imani na uvumilivu.








All the contents on this site are copyrighted ©.