2012-12-06 15:42:00

Jumuiya ya Kimataifa yahimizwa kutoa haraka msaada kwa wahitaji Congo


Siku ya Jumatano, Papa Benedict XVI , alirudia kutoa wito wake , kwa ajili ya amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Alirudia kutoa wito wake huku akionyesha kujali wingi wa watu wanaoteseka kwa kukoseshwa, njia ya msingi za kujikimu kimaisha na wengi wakilazimika kuyakimbia makazi yao , kutokana na wasiwasi wa vita RealAudioMP3







All the contents on this site are copyrighted ©.