2012-11-27 15:06:22

Rwanda: Barua ya kichungaji ya Maaskofu kwa Mwaka wa Imani


Barua ya Kichungaji ya Maaskofu ya Rwanda walio itoa kwa ajili ya Maadhimisho ya mwaka wa Imani , inahimiza Wakristu , kuziishi tunu za Kiinjili katika maisha yao ya kila siku, kama dira ya imani ya kweli ya Mkristu.
Barua hiyo itasomwa rasmi katika makanisa yote ya Rwanda hapo Desemba 2, 2012, ambayo ni Jumapili ya kwanza ya Majilio. Tarehe iliyochaguliwa na Mabaraza la Mabaraza ya Maaskofu ya Afrika ya Kati kama siku ya sala kwa ajili ya amani katika kanda ya Maziwa Makuu. RealAudioMP3








All the contents on this site are copyrighted ©.